MEYA MANISPAA YA MPANDA: SINA MPANGO WA KUGOMBEA UBUNGE


Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi
MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi Willium Mbogo amesema hana Mpango wa kugombea Ubunge.

Amesema hayo mbele ya waandishi wa habari kufuatia kuwepo kwa minong,ono kuwa ana nia ya kugombea ubunge katika jimbo mojawapo mkoani Katavi ifikapo 2020.
Kauli hiyo inakuja ikiwa ni siku chache tangu kumalizika kwa uchaguzi wa ndani ya chama cha Mapinduzi CCM akiutaja mchakato huo kuwa chanzo cha tetesi alizo zifananisha na propaganda.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com au ukurasa P5Tanzania Limited

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA