MBUNGE MPANDA VIJIJINI:WILAYA YA TANGANYIKA IMETENGEWA VISIMA 21 MWAKA 2017/2018




Na.Issack Gerald-Tanganyika Katavi
WILAYA ya Tanganyika imetengewa visima 21 vya maji safi na salama katika mwaka wa fedha 2017 na 2018.

Hayo yamesemwa na mbunge wa jimbo la Mpanda vijijini Suleimani Kakoso katika kikao cha kwanza cha Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Mpanda kinacho fanyika katika ukumbi wa Idala ya maji.
Ameongeza kusemakuwa bado kunajitihada nyingi zinazofanywa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbali mbali kuhakikisha wananchi wa wilaya hiyo Changa wanaondokana na adha ya maji.
Mapema mwaka 2017 katika kata ya Majalila iliyopo wilayani Tanganyika ulizindua mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya zaidi ya milioni 600 yanayo sukumwa kwa nishati ya jua.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com au ukurasa P5Tanzania Limited

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA