MADIWANI NA WENYEVITI WA VIJIJI WILAYANI MLELE WAPIGWA MSASA MBINU ZA KUIBUA FURSA ZA MAENDELEO-Julai 25,2017.

Madiwani na wenyeviti wa vijiji katika halmashauri ya mlele mkoani Katavi wametakiwa kuwa mfano kwa wananchi katika kuibua na kubaini fursa za maendeleo.

Hayo yamebainishwa na katibu tawala wilaya ya mlele Epaphras Tenganamba katika semina elekezi kwa viongozi hao iliyofanyika katika shule ya sekondari Inyonga ambapo amewataka kusimamia  miradi inayo buniwa katika maeneo yao.
Mafunzo hayo yamewezeshwa na wawezeshaji kutoka chuo            kikuu cha mzumbe chini ya Paul Fati na Tatu Reso kutoka chuo cha mipango Homboi Dodoma
Kwa upande wa madiwani na wenyeviti wamesema mafunzo hayo yamewatia chachu katika utendaji wa shughuli zao kwa wananchi ili kuwawezesha kupata maendeleo katika maeneo yao
Habarika zaidi na P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM


Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA