WASAFIRI KUTOKA KATAVI,TABORA NA KIGOMA WANAOTUMIA TRENI YA RELI YA KATI KUONGEZEWA BEHEWA KURAHISISHA USAFIRI



Na.Issack Gerald Bathromeo Mashama- Katavi
SERIKALI imewahakikishia wakazi wa mikoa ya Katavi,Tabora na Kigoma kuwa itaongeza mabehewa ya abiria na mizingo katika treni ya reli ya kati ili kuruhusu abiria wengi kusafiri na kusafirisha  mizigo yao kuwa wasafiri wengi wanatumia usafiri wa treni.
                                              

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mh.Makame Mbarawa mara baada ya  kuhitimisha ziara ya ukaguzi wa reli na miundombinu ya Mkoani Tabora.
Baadhi ya wakazi Mkoani Katavi wamesema kuwa hatua hiyo ya serikali itarahisisha usafiri kwa wananchi.
Treni ya reli ya kati imeonekana ikisafiri mara kwa mara kuliko ilivyokuwa miaka ya nyuma  baada ya serikali kuongeza behewa hivi karibuni.
Endelea kuwa name kufahamu kitakachojili kupitia P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM
Kwa maoni au ushauri tuma kupitia p5tanzania@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA