VIJIJI 7 WILAYANI NSIMBO VYALIA NA MIUNDOMBINU MIBOVU YA BARABARA


Na.Issack Gerald-NSIMBO                                                                     
ZAIDI ya vijiji saba katika Halmashauri ya wilaya ya Nsimbo          Mkoani  Katavi vinakabiliwa na ubovu wa miundombinu ya barabara inayounganisha kijiji kimoja na kingine.

Wakizungumza na P5 TANZANIA MEDIA  baadhi ya wakazi wa maeneo hayo akiwemo mwenyekiti wa kijiji cha Mnyaki B Bw. Justo Sambayendi ametaja maeneo yenye miundombinu mibovu ni pamoja na ya barabara ya kutoka Mnyaki kwenda Kabulonge,nduwi kwenda Iwimbi na Nduwi kwenda Kambuzi na Mnyaki kwenda Kaminula.
Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Bw.Michael Nzyungu amekiri kuwepo kwa changamoto hiyo na kuahidi ifikapo  mwaka ujao litafanyiwa utaratibu.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA