KAYA 8537 KATAVI ZANUFAIKA NA MRADI WA TASAF


 
Baadhi ya wanufaika wa Mradi wa Tasaf Mkoani Katavi

Na.Issack Gerald-MPANDA
KAYA 8537 katika vijiji  80 kati vijiji 177 vilivyopo Mkoani Katavi zimenufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini Mkoani Katavi.

Hayo yamesemwa na Mratibu wa mpango wa kunusuru kaya maskini Tasaf Mkoani Katavi Ignass Kikwala wakati akizungumza na wananachi wanaonufaika na mpango huo katika kijiji cha Ilunde Kata ya Inyonga Wilayani Mlele.
Naye  Mratibu wa Tasaf Wilayani Mlele Lucas Kombe amewataka wananchi hao kutumia fedha hizo kwa kujiletea maendeleo katika kaya zao.
Nao wananchi wanaonufaika na mpango huo wamesema tasaf imeleta mabadiliko makubwa katika kaya zao.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA