SERIKALI YA TANZANIA KUZIMA SIMU BANDIA IFIKAPO JUNI,2016


Na.Katibu Mkuu Kiongozi-DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu kiongozi Omben Sefue kwa kushirikaana na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imetoa tamko rasmi kuwa simu zote  mkononi zisizo halali yaani Bandia zitafungwa kutmumika ifikapo mwezi juni mwaka 2016.
                                                       

Sefue amesema kuwa lengo la kufunga matumizi ya simu hizo ni kudhibiti matukio ya uhalifu ya kutumia simu zisizotambulika kwa urahisi na mitambo ya TCRA.
Amesema kuwa ili kutambua uhalali wa simu yako unatakiwa kupiga *#06# ambapo utaona (IMEI namba) ambapo utatakiwa kunakili namba hizo na kuzituma katika ujumbe mfupi kwenda nambari 15090.
 Hata hivyo,amesema kuwa ikiwa IMEI namba haitaleta Jina la simu unatakiwa kurudisha kwa muuzaji au kubadilisha simu.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA