SIDO KUFUNGUA OFISI ZAKE KATAVI


Na.Issack Gerald-KATAVI
Shirika la viwanda vidogovidogo SIDO Mikoa ya Ruka na Katavi, linatarajia kuanzisha ofisi Mkoani Katavi kusogeza huduma na kutatua changampoto mbalimbali  zinazowakabili wafanyabiashara zikiwemo mikopo na masoko
Akizungumza na P5 TANZANIA Meneja wa shirika hilo Katika mikoa ya Rukwa na Katavi Martin Chang’a amesema kuwa wafanyabiasahara hususani wenye viwanda wanapata hasara kutokana na kukosa mikopo na elimu ya kuongeza thamani ya bidhaa zao katika usindikaji.
Aidha ameiomba serikali ya Manispaa ya Mpanda kutoa ushirikiano kwa shirika hilo litakapohitaji kufanyiwa hivyo.
Shirika hilo linafanya kazi Mkoani Katavi tangu Katavi kupewa hadhi ya kuwa  Mkoa mwaka 2012

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA