Posts

WAKAZI WILAYANI TANGANYIKA WAAGIZWA KUONGEZA KASI YA KUJENGA SEKONDARI KILA KATA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Mashama-Tanganyika WAKAZI wilayani Tanganyika Mkoani Katavi kwa Kushirikiana na uongozi wa vijiji na kata   katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika,wameagizwa kuweka mikakati ya ujenzi wa shule za Sekondari kila kata ,ili kila mwanafunzi asome bila kuhangaika na badala yake apate elimu bora.                                       Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Saleh Mbwana Mhando akishiriki ujenzi Shule ya sekondari ya Bulamata  kata ya Bulamata(PICHA NA Issack Gerald)Septemba 16,2016                                          Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika akizungumza na wananchi eneo la kijiji cha Busongola kunakojengwa Shule ya Sekondari Bulamata(P...

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA AAGIZA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 200 ZA WAKULIMA WA ZAO LA TUMBAKU CHAMA CHA USHIRIKA TAMCOS KULIPWA NDANI YA SIKU 15.

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Mashama-Tanganyika MKUU wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi Bw.Saleh Mbwana Mhando,ameuagiza uongozi wa bodi ya Chama cha Msingi cha Ushirika TAMCOS na Afisa Ushirika Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda Bw.Luxford Mbunda,kuhakikisha wanalipa   zaidi ya Shilingi milioni 200 wanazodai wakulima wa zao la tumbaku wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa misimu 3 ya kilimo kuanzia mwaka 2011-2015 kabla ya Septemba 30 mwaka huu. Baadhi ya Wakulima wa Zao la Tumbaku wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika(hayupo pichani) katika Ofisi za TAMCOS Mishamo(PICHA NA.Issack Gerald) Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Saleh Mbwana Mhando Aliyesimama akihutubia wakulima wa tumbaku wa chama cha Msingi cha Ushirika TAMCOS Mishamo(PICHA NA.Issack Gerald)                                       Wakulima wa chama cha Msingi cha Ushirika TAMCOS Mishamo wakimsikiliza Mkuu ...

KIFO CHA MTU KUJINYONGA KATAVI,NDUGU,MASHUHUDA WASIKITIKA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi MTU mmoja anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 30 Innocent Milambo mkazi wa mtaa wa kigoma kata ya Makanyagio wilayani Mpanda   mkoani Katavi,amekutwa amekufa kwa kujinyonga   usiku wa kuamkia leo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni imani za kishirikina. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Katavi ACP Damasi Nyanda(PICHA NA.Issack Gerald)                                                             

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA ATOA AGIZO KWA WATUMISHI WA WILAYA HIYO,ATAKA WAFANYE KAZI KWA WELEDI KWA MANUFAA YA WANANCHI NA KUIEPUKA RUSHWA.

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Tanganyika Katavi MKUU wa Wilaya ya Tanganyika Bw.Saleh Mbwana Mhando,amewaagiza watumishi wa umma Wilayani Tanganyika,kufanya kazi kwa weledi na kasi ili kufikia maendeleo yanayohitajika kwa wananchi. Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika(Mwenye tai) akiwa na baadhi ya watumishi wa Wilaya hiyo baada ya kikao(PICHA NA.Issack Gerald)Septemba 14,2016 Baadhi ya watumishi wa idara mbalimbali halmashauri ya wilaya ya Tanganyika katika kikao cha utumishi na mkuu wa Wilaya(Hayupo pichani)(PICHA NA.Issack Gerald)Septemba 14,2016                                           

MIFUGO KUZAGAA MITAANI KWAPIGWA WILAYANI KIBONDO

Na.Mwandishi wetu- Jastini Cosmas-Kibondo Kigoma HALMASHAURI ya wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma,imewaagiza wananchi katika Halmshauri hiyo kutoachia mifugo yao ovyo katika kipindi hiki cha msimu wa kilimo,kutokana na mifugo hiyo kuwa waharibifu wa mazao.

KINACHOIGUSA MIKOA YA KATAVI,RUKWA NA KIGOMA KUTOKA VIKAO VYA BUNGENI DODOMA LEO SEPTEMBA 8,2016

Image
Na.Issack Gerald-Dodoma Serikali imesema,inaendelea kuweka mikakati ya kuwa na kiwanda cha kutengeneza pikipiki za bodaboda ili kuwajengea vijana kuwa na uwezo wa kununua pikipiki zao,kuliko kuendelea kuwatumikia matajiri wenye uwezo wa kumiliki pikipiki hizo. Wabunge wakiwa bungeni Mjini Dodoma leo Septemba 8,2016                                   

KUMEKUCHA BUNGENI TENA ,MISWADA 6 UKIWEMO WA HABARI KUWASILISHWA,WABUNGE WA UPINZANI MGUU SAWA BUNGENI

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo MKUTANO wa Nne wa Bunge la 11 unatarajiwa kuanza leo mjini Dodoma, huku miswada sita ukiwemo wa Sheria ya Upatikanaji wa Habari ukitarajiwa kuchukua nafasi kubwa.