SERIKALI YAFUNGUKA KUHUSU KUFUNGIA MITANDAO
Serikali ya awamu ya tano ya Rais
Dkt.John Magufuli imekanusha taarifa ya kufungia mitandao ya kijamii kama
inavyoelezwa na baadhi ya watu na kuitaka jamii kuzipuuza endapo watakutana
nazo mitandaoni.

Leo (Machi 24, 2018) imesambazwa
barua iliyokuwa inaonesha kutoka Ikulu ambayo imeandika taarifa za kuwa
serikali inawaasa watanzania wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuitumia kwa
uangalifu na tija ili kujiletea maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com
Comments