NCHINI SUDANI KUSINI MKATABA WA KUSITISHA MAPIGANO KUANZIA SIKU YA KRISMASI WASAINIWA

one
Image captionRais wa Sudan kusin,Salva Kiir
Serikali ya Sudan Kusini na makundi ya waasi wameweka saini ya kusitisha mapigano kuanzia siku ya krismasi hatua ambayo imechukuliwa kama kumaliza vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyodumu kwa miaka minne. Makubaliano hayo yametiwa saini katika mji mkuu wa Ethiopia,Addis Ababa katika mkutano ulioitishwa na IGAD.
Makuabliano hayo yanaruhusu makundi ya kutoa misaada kuwafikia wananchi waliobanwa katika maeneo ya mapigano ambapo Mara kadhaa makubaliano ya kusitisha vita yametiwa saini Sudan kusini lakini yote hayakutekelezwa.
Maelfu wamepoteza maisha na mamilioni kuyakimbia makazi yao kutokana na machafuko nchini Sudani kusini taifa ambalo lilipata uhuru miaka sita iliyopita.
Chanzo:bbc

Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA