MWILI WA ASKARI WA JWTZ KUAGWA JUMATATU-Septemba 23,2017

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema mwili wa marehemu Praiveti Mussa Jumanne ambaye ameuawa nchini DRC uanatarajiwa kuagwa Jumatatu ya wiki ijayo.

Marehemu Praiveti Mussa Jumanne aliuawa akiwa katika jukumu la Ulinzi wa Amani na ataagwa katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo kuanzia saa mbili asubuhi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Florens M.Turuka anatarajiwa kuongoza katika kuuaga mwili wa Marehemu.
Habari nyingine zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com au kupitia P5Tanzania Limited

0764491096

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA