FIDIA KWA WANANCHI MKOANI KATAVI-Septemba 7,2017



Mh.Roda Kunchela mbunge viti maalumu Katavi
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani
NAIBU waziri wa ujenzi,Uchukuzi na mawasiliano Mh.Edwin Ngonyani amesema kila mwananchi anayesitahili kupewa fidia kutokana na ujenzi wa lami kutoka Mpanda kuelekea Mkoani Kigoma atapewa fidia yake kwa mjibu wa sheria.

Mh.Ngonyani ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la mbunge viti maalumu mkoani Katavi Mh.Roda Kunchela aliyetaka kujua mpango wa serikali kuwalipa fidia wananchi walioachwa bila kulipwa licha ya kuondolewa katika maeneo yao.
Hata hivyo Mh.Ngonyani amesema serikali haitawalipa fidia wananchi wasiokuwa na sifa ya kupewa fidia.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA