SPIKA BUNGE LA TANZANIA KUCHAGULIWA KESHO,SITTA NJE KINYANG'ANYIRO


 
Jengo la Bunge Mjini Dodoma

Na.Mwandishi wetu-DODOMA
Wabunge wateule wa bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatarajia kumchagua Spika wa Bunge hilo kesho Mjini Dodoma.

Taarifa zinazoonesha ,wagombea uspika wasio wabunge, vyama vingi vya siasa vimepeleka majina Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kupitishwa.
Wakati huo huo Ratiba inaonesha kuwa kuanzia saa 10 jioni ya leo, wabunge watakuwa na mikutano ya vyama vyao, ambapo hoja kubwa ni kuhusu upatikanaji wa jina la Spika na Naibu Spika wake.
Tayari Chama cha Mapinduzi CCM kimeendelea na mchujo wa majina ambapo jana kimewapitisha Naibu Spika wa Bunge la Kumi Job Ndugai,Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Tulia Akson na
AbdullahAllyMwinyi wakati huo jina la Spika wa zamani Samwel Sitta na wengine yakikatwa.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA