Posts

WATENDAJI WA HALMASHAURI MKOANI KATAVI WATAKAOCHEZEA FEDHA ZA MAENDELEO KUUNGUZWA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Mpanda WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa halmashauri mkoani Katavi kuwa makini na matumizi ya fedha za maendeleo zinazopelekwa katika maeneo yao na atakayethubutu kuzichezea zitamuunguza. Waziri Mkuu akiwapungi amkono wananchi  

WATANZANIA WAPYA MAKAZI YA KATUMBA WILAYANI MPANDA WATAKAOTUMIA VIBAYA URAIA WALIOPEWA KUNYANG’ANYWA URAIA HUO.

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Makazi ya Wakimbizi ya Katumba mkoani Katavi, Bwana Igwe baada ya kuwasili kambini hapo kuzunguma na wananchi akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. Wapili kulia ni mkewe Mary. (Picha na Issack Gerald Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Katumba mkoani Katavi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Issack Gerald) Baadhi ya baiskeli za wananchi wa kijiji cha Katumba wilayani Mpanda wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Issack Gerald) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mnara uliojengwa na wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania ili kumshukuru Mungu kwa kupewa urais huo wakati alipokitembelea kijiji Katumba mkoani Katavi Agosti 21, 2016. K...

WAZIRI MKUU AAGIZA HATUA ZICHULIWE KWA WATUMISHI NCHINI WANAOIBA DAWA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri nchini kuwachukulia hatua watumishi wote wa sekta ya afya wanaojihusisha na wizi wa dawa. Waziri Mkuu,Kassim Majlaiwa na mkewe Mary wakitazama watoto mapacha wa kiume waliozaliwa na  Bi Sikudhani Raashidi usiku wa kuamkia Agosti 21, 2016 katika hospitali ya wilaya ya Mpanda wakati walipoiembelea Agosti21, 2016. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Viti Maalum, Anna Lupembe. (Picha na Issack Gerald)Agosti 20,2016 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea hospitali ya wilaya ya Mpanda akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Issack Gerald)Agosti 20,2016                                            

NAMNA WAZIRI MKUU WA TANZANIA KASSIM MAJALIWA ALIVYOWASILI NA KUPOKELEWA MKOANI KATAVI

Image
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivyowasili Mkoani Katavi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuka katika ndege na akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza kumpokea uwanja wa wa ndege Mpanda (PICHA NA .Issack Gerald) Agosti 20,2016                                                       Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongozana na Vijana baada ya kupokelewa uwanja wa ndege(PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 20,2016                                                                         ...

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA AZIAGIZA MAMLAKA ZA ARDHI VIJIJI VYA KAMILALA NA KATUMA KUWEKEANA MIPAKA YA KUDUMU KUONDOA MIGOGORO YA ARDHI.

Na.Judica Sichone-Tanganyika Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh Saleh Mhando aziagiza mamlaka za ardhi katika kijiji cha Kamilala na Katuma kuhakikisha wanaweka mipaka ya kudumu haraka iwezekanavyo ili kuondokana na migogogro ya ardhi.

WATANO KATAVI WAHUKUMIWA MIAKA 5-20 KWA TUHUMA ZA NYARA ZA SERIKALI,MWINGINE AACHIWA HURU,WAKILI WAO ASEMA WATAKATA RUFAA

Na.Vumilia Abel-Mpanda MAHAKAMA ya wilaya mkoani Katavi imewahukumu watu 5 miaka 5 hadi 20   na mmoja kuachiwa huru waliokuwa wakikabiliwa na   makosa matatu tofauti likiwemo la kukutwa na nyara za serikali bila kibali.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWASILI KATAVI KESHO,WANAKATAVI WAOMBWA KUJITOKEZA KUMPOKEA.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga   ametoa rai kwa wananchi Mkoani Katavi kujitokeza kwa wingi kumpokea waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa anayetarajia kuwasili kesho kwa ndege Mkoani Katavi kwa Ziara ya kikazi ya siku nne. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga(PICHA NA.Issack Gerald) Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majliwa(PICHA NA.Issack Gerald)