RAIS MAGUFULI ATEUA MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI BENKI YA POSTA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe
Magufuli amemteua Dkt.Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB).

Dkt.Mndolwa anachukua nafasi ya Prof.Lettice Rutashobya ambaye
amemaliza muda wake.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com

Comments