RAIS MAGUFULI KUPOKEA MAGARI 181 YA KUSAMBAZIA DAWA NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kupokea magari 181 yatakayokuwa
yakitumika kusambaza madawa vijijini na mjini.

Magari hayo yapo chini ya Bohari Kuu ya Dawa
(MSD) na yataongeza ufanisi katika kufikisha huduma katika maeneo yaliyokuwa
hayafikiwi.
Habari
zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com
Comments