MELI YA MAFUTA ILIYOKUWA IKITEKETEA MOTO IMEZAMA BAHARINI

Meli ya mafuta ambayo imekuwa ikiteketea kusini mwa bahari ya China kwa zaidi ya wiki moja hatimaye imezana
Meli ya mafuta iliyokuwa ikiteketea moto imezama bahariniHaki miliki ya pichaREUTERS
Image caption
Meli ya mafuta iliyokuwa ikiteketea moto imezama baharini.
Kwa mjibu wa vyombo vya habari vya China,Sanchi na meli nyingine ya mizigo ziligongana kilomita 260 nje ya Shanghai Januari 6 mwaka huu ambapo baadaye ilianza kusombwa kusini mashariki kwenda Japan.
Maafisa wa Iran sasa wanasema 
Meli hiyo ilikuwa imebeba tani 136,000 za mafuta lakini maafisa wanasema kuwa hakuna hatari kubwa.
Image caption
Meli hiyo ilikuwa imebeba tani 136,000 za mafuta lakini maafisa wanasema kuwa hakuna hatari kubwa. wahudumu wote 32, wakiwemo raia 30 wa Iran na wawili raia wa Bangladesh wote walifariki.
Meli hiyo ilikuwa imebeba tani 136,000 za mafuta lakini maafisa wanasema kuwa hakuna hatari kubwa ambapo Meli zingine 13 na kikosi kutoka Iran wamekuwa wakishiriki katika jitihada za kuokoa licha ya kuwepo hali mbaya ya hewa.
Siku ya Jumamosi wafanyakazi walikuwa wameingia kwenye meli hiyo ambapo walipata miili ya wahudumu wawili ndani ya mashua ya kuokoa maisha huku Waokoaji walipata kisanduku cha kurekodi sarafi lakini wakaondoka haraka kutokana kuwepo moshi na joto jingi.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED


Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA