RAIS JOHN MAGUFULI ATEUA JAJI MKUU WA TANZANIA-Septemba 10,2017

Rais Magufuli akiwa na Jaji mteule Jaji Prof.Ibrahim Hamis Juma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua Mhe.Prof.Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania.

Uteuzi huu ambao unaanza,Kabla ya uteuzi huo Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Mhe.Prof. Ibrahim Hamis Juma amechukua nafasi ya Mhe.Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman ambaye amestaafu.
Mhe.Prof. Ibrahim Hamis Juma anatarajia kuapishwa kesho  Septemba 11 majira ya saa nne Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 Habari zaini ni www.p5tanzania.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA