RC KATAVI ATAKA WATENDAJI WA VIJIJI KUWA NA DAFTARI LA WAKAZI-Agosti 9,2017

Mkuu wa Mkoa wa katavi meja jenerali mstaafu  Raphael muhuga  amewataka watendaji wote wa vijiji mkoani hapa  kuwa na daftari la wakazi katika maeneo yao.

Ameyasema hayo katika ziara yake mwishoni mwa wiki katika kijiji cha isengule na ikola wilayani Tanganyika  ambapo amesema kila mtendaji wa wakijiji   ahakikishe anakuwa na daftari la kuandikishia wakazi ili kuepuka uhamiaji haramu katika mkoa wa katavi.
Aidha muhuga amwasistiza kwa kusema kuwa kufanya hivyo kutadumisha  ulinzi na usalama katika nchi kutokana na wahamiaji wengi kufanya matukio na kutoweka.
Kumekuwa na wimbi kubwa la wahamiaji haramu katika nchi ya Tanzania kutokana na baadhi yao kukimbia vita na njaa katika nchi zao.

                                                                                        

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA