CWT KATAVI KUPIGANIA HAKI ZA WALIMU WANAWAKE



CHAMA cha walimu CWT mkoani katavi kimesema kitahakikisha kinapigania maslahi ya walimu wanawake makazini kwa sababu ya mchango kubwa walionao katika jamii.

Hayo yamesemwa na katibu wa chama cha walimu mkoa wa katavi Bi.Lucy Masengenya katika mkutano mkuu wa chama cha walimu uliojumuisha walimu wanawake kutoka maeneo mbalimbali mkoani Katavi.
Aidha       Bi. Masengenya amesema kuwa chama kinatakiwa kuhakikisha kinapata viongozi wanawake wanaotoka ndania ya Chama cha walimu wenye ujuzi wa kutosha mara baada ya kuwezeshwa katika haki zao.
Akizungumza baada ya ufunguzi wa mkutano  huo bi Masengenya amesema ulinzi huo utaenda sanjari na kuondoa vikwazo vinavyowanyima haki na fursa sawa na wanaume  katika ajira na mafunzo hatua ambayo imeungwa mkono na baadhi ya walimu.
Mwa ndishi:Issack Gerald Bathromeo
Mhariri: Issack Gerald Bathromeo
Endelea kuhabarika na P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA