WITO WA MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA MPANDA KWA MADIWANI KUHUSU MADAWATI NA DOMPO LA KUTUPIA TAKA


Mh.Willium Philipo Mbogo  amewasisitiza madiwani kusimamia kwa dhati mchakato wa upatikanaji wa madawati  ili  ifikapo Mwezi Juni 2016  uwe umeamilika ili kutekeleza agizo la Rais John Pombe Magufuli kwa wakati mwafaka.

Aidha amemwomba mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda kusaidia kupatikana dampo kwa ajili ya kutupia taka zinazosombwa kutoka mjini ili sasa Manispaa iendelee kuwa safi ikiwezekana kuwa Manispaa ya Kwanza kwa usafi watakapowekwa katika ushindani.
Karibu shule zote Manispaa ya Mpanda zinadaiwa madawati kati ya madawati 600 hadi 100.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA