WANAWAKE MPANDA WATAKIWA KUJIFUNGULIA HOSPITALINI KUPAMBANA NA VIFO


Na.Vumilia Abel-MPANDA
Wanawake Wilayani Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kuona umuhimu wa kujifungulia katika vituo vya afya na kuachana  mila potofu za kujifungulia nyumbani ili kuzuia voifo visivyo vya lazima.

Wito huo umetolewa na mratibu msaidizi wa huduma za uzazi na mtoto Wilayani Mpanda Bi.Malietha Sikwila wakati akizungumza na P5 TANZANIA MEDIA Ofisini.
Aidha amesema wanawake wengi wamekuwa wakichelewa kufika hospital mapema kuacha tabia ya kutegemea wakunga ambao wakati mwingine hawana elimu ya kutosha kumsaidia mama anayejifungua.
Pia amesema mjamzito anapoona dalili za kijufungua anatakiwa kuwahi mapema kwenye kituo cha afya kwa msaada zaidi.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA