UONGOZI CHADEMA KATAVI,JIMBO NA WILAYA WASIMAMISHWA UONGOZI.


Na.Issack Gerald-MPANDA
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA,kanda ya kusini Magharibi,umewasimamisha viongozi wa chama hicho kwa Mkoa wa Katavi,kwa jimbo la Mpanda na wilayani Mpanda,kwa tuhuma kukihujumu chama.
                                                        
Bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema
Akizungumza na P5 TANZANIA MEDIA,aliyekuwa katibu wa Chama hicho kabla ya kujiudhuru,Bw.Mailwa James amesema, uongozi wa kanda ulifanya kikao cha kuwataka  viongozi waliokuwa madarakani kuondoka na uongozi mpya uteuliwe.
Uongozi Ulioteuliwa Kukaimu Madaraka Kwa Siku 90 Mpaka Uchaguzi Utakapo Itishwa,Kwa Ngazi Ya Wilaya,Mwenyekiti Ni Bw. Swanga,Katibu Ni Bw.Erasto Egero, Wakati Kwa Upande Wa Jimbo,Aliyeteuliwa Ni Bw.Yohana Kamwela,Na Katibu Wake Ni Bw.Mwarabu Kess.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA