WAZAZI,WALEZI WATAKIWA KUTOWAFICH AWATOTO WENYE ULEMAVU


 
Baadhi ya watoto walemavu wakisikiliza maelezo ya walimu wao,walimu hawapo pichani

Na.Issack Gerald-MPANDA
Wazazi na walezi wilayani Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu mbalimbali badala yake wawapeleke shule kupata elimu jumuishi itakayo wasaidia katika maisha yao.

Hayo yameelezwa na Afisa elimu taaluma manispaa ya Mpanda Bw. Rashidi Pili wakati akizungumza na P5 TANZANIA MEDIA Ofisini kwake juu ya uelewa wa wazazi kuhusu elimu jumuishi.
 na kuzitzja shule zinazotoa elimu kuwa ni shule ya msingi kashato na azimio .
Aidha amesema kuwa kuwaficha watoto ni kuwanyima haki ya kushiriki na watoto wasio walemavu katika shughuli mbalimbali ikiwemo elimu na michezo.
 Baadhi ya shule zenye watoto wenye ulemavu ni pamoja na Manispaa ya Mpanda ni msingi kashato na azimio .

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA