WAKALA WA VIPIMO TANZANIA KUZINDUA MATUMIZI YA VIPIMO KESHO MKOANI KATAVI


Na.Issack Gerald-MPANDA
Wakala wa vipimo Tanzania Kesho wanatarajia kuzindua na kukopesha mizani kwa wafanyabiashara wadogo Mkoani Katavi kwa ajili ya kuondokana na hasara zinazotokana na kuuza bidhaa mbalimbali pasipo kutumia vipimo halali.
Hayo yamebainishwa na Meneja wa wakala wa vipimo katika Mikoa ya Rukwa na Katavi Bw.Amos Nzaga katika semina elekezi kwa wafanyabiashara ambayo imefanyika jana  katika Soko la Buzogwe Manispaa ya Mpanda.
Kwa upande wake Bi.Irene John ambaye ni Kaimu meneja wa semina ya elimu na mawasilano kutoka  makao makuu ya Wakala wa Vipimo Jijini Dar es Salaam,amesema Mkoa wa Katavi umepewa kipaumbele namba moja,kutokana na uzalishaji wa mazao ya biashara kwa wingi.
Nao baadhi ya wafanyabiashara katika semina hiyo,wamesema wanategemea kusaidiwa katika utatuzi wa changampoto zinazowakabili katika shugfhuli za kibiashara.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA