SIKUKUU YA EID KATAVI IBADA KUFANYIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI AZIMIO


 
Maandalizi yaibada ya hija

Na.Issack Gerald-MPANDA
WAUMINI wa dini ya kiislamu duniani kote leo wanasherehekea sikukuu ya Idd El Hajj baada ya kukamilika kwa ibada ya Hija.

Akizungumza na P5 TANZANIA ,Kaimu shehe wa Mkoa wa Katavi Shehe Said Omary amesema kuwa ibada ya Eid inatarajia kufanyika leo katika viwanja vya Shule ya msingi Azimio vilivyopo Manispaa ya Mpanda.
Wakati huo huo Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal yanayofanyika kitaifa mkoani Mara.


Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA