WATUMISHI WA UMMA MPANDA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA SIASA WAKATI WA KAZI

Watumishi wa umma wakiwa katika Ukumbi wa shule ya Sekondari St.Mary's Mpanda katika semina iliyoendeshwa na Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Mpanda Vicenti Kayombo

Watumishi mbalimbali katika manispaa ya Mpandaa katika Semian ukumbi wa Shule ya Sekondari St.Mary's Manispaa ya Mpanda katika kikao cha utum,ishi wa umma kikendeshwa Kaimu Mkurugenzi Halmshauri ya Manispaa ya Mpanda Vicenti Kayombo

Na. Mark Ngumba-MPANDA
WATUMISHI Wa Umma wametakiwa Kutojihusisha na Maswala ya Siasa wakati wa Kazi na badala yake wahakikishe wanatimiza wajibu wao wa  Kuwahudumia wananchi Katika Maeneo yao ya Kazi.

Kauli hiyo imetolewa leo  na Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Vicent Kayombo  Katika Mkutano uliowakutanisha walimu wote wa shule za Msingi Halmashauri ya Manispaa ya  Mpanda wenye lengo la Kupanga Mikakati ya Kuimarisha Kiwango cha Ufaulu wa wanafunzi kwa mwaka 2015.

Mkutano huo wenye lengo la kutathimini utendaji wa kazi za  Idara ya Walimu kwa kipindi cha Miezi sita iliyopita Umewashirikisha Jumla ya walimu 500 kutoka shule zote za Msingi Katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA