KATAVI KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA MIPAKA YAKE YA UTAWALA


Na.Issack Gerald-Katvi
SERIKALI Mkoani Katavi imedhamilia Kumaliza Migogoro ya Aridhi kwa Kuweka utaratibu Utakaoishirikisha Jamii ambayo ndiyo huathiriwa Zaidi na Migogoro hiyo pale inapokuwa imetokea.

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dr Ibrahim Msengi wakati akitambulisha utaratibu Mpya utakaotumika  Kukabiliana na Uhalibifu wa Mazingira uliokithiri Mkoani Hapa.
Dr Msengi amesema kuwa,Utaratibu kama utasimamiwa Vizuri utasaidia Kupunguza Migongano iliyopo Katika Jamii na Kuufanya Mkoa wa Katavi Kuwa Mkoa wa Kuigwa na Mikoa yenye Migooro ya Aridhi Nchini.
Mkoa wa Katavi ni Miongoni mwa Mikoa hapa Nchini inayokabiliwa na Uhalibifu Mkubwa wa Mazingira Kutokana na Kuwa na  Idadi kubwa Wakazi Jamii ya Wafugaji wanaohama.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA