TETESI ZA SOKA JANUARI 23,2018
Manchester City inamtaka Aymeric Laporte na inafikiria kutimiza kipengee cha kumruhusu beki wa kati huyo raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 23 kilichotolewa na Athletic Bilbao cha Pauni milioni 60. (Sun)
Borussia Dortmund inamtaka mshambuliaji raia wa Ufaransa wa
timu ya Arsenal Olivier Giroud, mwenye umri wa miaka 31, kama sehemu ya
kubadilishana na mchezaji raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, mwenye umri
wa 28, - au wasitishe mpango huo hadi msimu wa joto. (Mirror)
Chelsea inatafakari kuvunja sera ya kutolipa malipo ya
uhamisho kwa wachezaji wake kando na makipa walio na umri wa miaka 30,
kumsajili mshambuliaji wa Bosnia Edin Dzeko, 31, kutoka Roma. Upande wa Antonio
Conte huenda ukakamilisha makubaliano ya mara mbili ya Dzeko na mchezaji wa
Roma Italia wa kiungo cha beki kushoto Emerson Palmieri, mwenye umri wa miaka 23,
kwa thamani ya pauni milioni 44. (Telegraph)
Au Chelsea itawalipia wachezaji wote wawili pauni milioni 50.
(Mirror)
Crystal Palace imeanzisha mazungumzo na Inter Milan kuhusu
makubaliano ya zaidi ya pauni milioni 8.5 kumsajili mchezaji wa kiungo cha
mbele Eder, mwenye umri wa 31. (Mail)
Newcastle ipo tayari kusaini uhamisho wa mkopo wa winga wa
Chelsea raia wa Brazil Kenedy, mwenye umri wa miaka 21, katika saa 24 zijazo.
(Mail)
Real Madrid inajitayarisha kwa uhamisho wakati wa msimu wa
joto wa Mohamed Salah wa Liverpool mwenye umri wa miaka 25 kwa mujibu wa rais
wa shirikisho la soka Misri. (Liverpool Echo)
Newcastle inashughulikia makubaliano ya kumleta mshambuliaji
wa Atletico Madrid raia wa Ufaransa Kevin Gameiro, mwenye umri wa miaka 30,
kuingia St James' Park. (Express)
Mshambuliaji wa West Ham Andy Carroll, mwenye umri wa miaka
29 yupo nje kwa miezi mitatu baada ya kufanyiwa upasuaji wa mguuu wake
uliovunjika. (Telegraph)
Wasiwasi kuhusu afya ya Fabian Delph unamaanisha kuwa
Manchester City inatazamia kumsaini mchezaji wa Shakhtar Donetsk kiungo cha
kati mwenye umri wa miaka 24 Fred hivi sasa, badala ya kusubiri hadi msimu wa
joto. (Manchester Evening News)
Winga wa Brazil Lucas Moura, 25, anayelengwa na Tottenham,
anasema "hana raha" akiwa Paris St-Germain. (L'Equipe)
Meneja wa Bournemouth Eddie Howe anasema kurudi kwa winga
Junior Stanislas, na mshambuliaji wa Norway Joshua King, mwenye umri wa miaka
26, kutoka kuuguza majeraha, ni kama kuwasajili wachezaji wawili. (Bournemouth
Echo)

Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments