RAIS MAGUFULI AMEMTEUA ALIYEKUWA KATIBU MKUU IKULU BW.ALPHAYO KIDATA KUWA BALOZI



Rais John Magufuli ameteua mabalozi wapya wawili ambao ni Alphayo Kidata na Meja Jenerali Mstaafu,Simoni Mumwi.
Alphayo Kidata
Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu,Gerson Msigwa imesema Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi John Kijazi amesema uteuzi wa Kidata umeanza jana Jumatano Januari 10.
Kabla ya uteuzi huo Kidata alikuwa Katibu Mkuu,Ikulu.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa mabalozi hao wateule watapangiwa vituo vyao vya kazi na kuapishwa baada ya taratibu kukamilika.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA