WATENDAJI WALIOGAWA MAENEO KWA WANANCHI KIHOLELA KUCHUKULIWA HATUA



Serikali imeziagiza halmashauri nchini kuanza kuchukua hatua kwa watendaji walio husika kugawa maeneo ya makazi kwa wananchi kiholela.
Kauli hiyo imetolewa jana Bungeni na Naibu Waziri wa ardhi nyumba na Makazi Anjerina Mabula alipokuwa akijibu maswali yaliyo ulizwa na baadhi ya wabunge walio taka kujua kwanini serikali inaadhibu wananchi kwa kubomoa makazi yao na kuwaacha watendaji walio idhinisha.
Ameongeza kusema kuwa hatua zinachukuliwa na serikali kuhakikisha hakuna uonevu dhidi ya wananchi.
Nisiku ya  tatu tangu mkutano wa tisa wa bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuanza kwake mjini Dodoma.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA