LORI NOAH ZAUA 5 NA KUERUHI 4 MKOANI KILIMANJARO

Na.Issack Gerald
Watu watano Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wamepoteza maisha na wengine wanne wakijeruhiwa.
Aajali hiyo ambayo imehusisha lori kugongana uso kwa uso na Noah imetokea maeneo ya kikavu kwa Sadala.
Daktari wa zamu katika hospitali ya wilaya ya Hai,Agness Temba amesema amepokea miili ya watu wa tano.
Aidha Dkt.Temba amesema miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Hai.

Kwa upande wa majeruhi Dkt.Temba amesema wamekimbizwa katika hospitali ya Rufaa ya KCMC Moshi.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA