MKOANI KIGOMA MWENGE WA UHURU LEO UMEZINDUA MAJENGO YA KIBIASHARA NA MAJENGO YA KUKATIA TIKETI ZA MABASI-Julai 26,2017

MRADI wa majengo ya biashara  na vibanda vya  Kukatia tiketi Mkoani Kigoma umeziduliwa leo na mbio za mwenge katika stendi kuu ya mabasi iliyopo kata ya Gungu.

Mradi huo umezinduliwa na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2017 Bw.Amour Ahamad Amour ikiwa ni sehemu ya mwenge huo kuzungukia miradi mbalimbali iliyona ambayo haijaisha .

Amesema kuwa mradi huo umejengwa na tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISHEMI)ambao umegharimu ya milioni 700 mpaka kukamilika na kuanza kutumika
Aidha Amour amesema kuwa wanafanya hawana budi kutumia vibanda hivyo  kufanyia biashara za ili walipe na kodi za pango kwa kutumia EFD ili kuweza kupata maendeleo ya haraka

Habarika zaidi na P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM



Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA