MKOANI KATAVI ELIMU KUHUSU RUSHWA YAHITAJIKA ZAIDI-Julai 23,2017

VIONGOZI  wametakiwa kuisaidia jamii kujua umuhimu wa kutoa taarifa pindi  vitendo vya utoaji wa rushwa vinapotokea.

Wito huo umetolewa na Afisa uhamasishaji wa umma ofisi ya takukuru mkoa wa katavi Bwn Fredrick Johakimu alipokuwa akiongea na wanachama wa ccm waliochukua fomu ya kushika uongozi wa ndani ya ccm ngazi mbalimbali mkoa wa katavi na kuwaeleza kuwa wao ni watu wa kwanza kuelimisha jamii juu ya madhara ya  vitendo vya rushwa .
Pia hakusita kutoa onyo kwa watu ambao wanatoa taarifa zisizo sahihi juu ya vitendo vya rushwa na amewaonya kuwa wa kweli katika kutoa taarifa.

Habari zaidi ni P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM 

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA