BODABODA KATAVI WAAGIZWA KUWAPA KOFIA NGUMU ABIRIA WAO-Julai 18,2017

Mkuu wa kitengo cha usalama barabarani mkoa wa Katavi John Mfinaga amewaagiza madereva piki piki maarufu kama boda boda kutii sheria ya matumizi ya kofia ngumu kwa abiria.

Katika mahojiano na waandishi wa habari,Mfinaga  amesema kitendo cha abiria kutovaa kofia ngumu (helment) ni hatari kwa usalama wao na kwamba hatua kari zitachukuliwa kwa madereva watakao ruhusu hali hiyo.

Baadhi  ya  madereva bodaboda Gerald  Malimba na Bundara Elias Bushiri  wamekili kukiukwa   kwa  sheria hiyo kwa madai kuwa  abilia wengi hugoma kuvaa. 

Kwa mujibu wa sheria ya usalama barabarani  kosa la kutokuwa na element mbili adhabu yake ni faini ya shiringi elfu therathini.

Habarika zaidi kupitia p5tanzania.blogspot.com

Mawasiliano :p5tanzania@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA