2017 MWENGE KUWASHWA MKOANI KATAVI KUZIMIWA ZANZIBAR



Na.Issack Gerald Bathromeo Mashama
UZINDUZI wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2017 unatarajia kufanyika Mkoani KATAVI na kilele cha mbio za mwenge huo kitafanyika Zanzibar.
                                                 

Kwa mwaka 2016 mbio za mwenge wa uhuru zilizinduliwa Mkoani Morogoro na Mgeni rasmi akiwa makamu wa Rais wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassaan kilele cha mbio Za mwenge wa uhuru kimefanyika Mkoani Simiyu na mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa.baraza la mapinduzi ya Zanzibar Dkt Ally Mohamed Shein.
Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2016 umekimbizwa katika siku 179 ndani ya Mikoa 31 na Halmshauri 179 za Tanzania
Kauli mbiyu kwa mwaka 2016 ilikuwa inasema hivi ’’Vijana ni nguvu kazi ya taifa,washirikishwe na kuwezeshwa’’.
Endelea kuhabarika na P5 TANZANIA
Mawasiliano : p5tanzania@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA