NAIBU WAZIRI JAFO AZINDUA MRADI WA MAJI NSIMBO WILAYANI MLELE




Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi
Naibu  Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa(Tamisemi), Mh.Selemani Jafo akiwa na mwenyeji wake Mbunge wa Jimbo la Nsimbo  Richard Mbogo amezindua mradi mkubwa wa maji Katika kijiji cha mwenge.
                                                

Sambamba na uzinduzi huo pia ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa madarasa mawili, vyoo na nyumba ya walimu Katika  shule ya sekondari Machimboni iliyopo katika halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi.
Baada ya uzinduzi wa miradi hiyo, Jafo amezungumza na watumishi wa halmashauri hiyo kwa lengo la kukuza utendaji kazi wa watendaji wa halmashauri hiyo ili kuongeza utoaji wa huduma kwa wananchi.
Endelea kuhabarika na P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA