MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA MKOANI WAKATI WA HAFLA YA KUPOKEA MADAWATI UWANJA WA SHULE YA MSINGI KASHAULILI

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga katika viwanja vya shule ya msingi Kashaulili akikabidhi msaada wa madawati 327(146 Mbunge viti maalumu Mh.Anna Lupembe na 181 mbunge Mpanda Mjini Mh.Sebastian Kapufi).Pia Mbunge Anna Lupembe alitoa msaada wa Shilingi Milioni 4 kwa vikundi 40 vya wajasiliamali wanawake Manispaa ya Mpanda na Baiskeli tatu za walemavu.Jumla Mh.Lupembe alichangia vitu vya thamani ya milioni 10 ukiondoa milioni 4 za wajasiliamali(PICHA ZOTE NA.Issack Gerald)


Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jeneral Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga akiwa mgeni rasmi akikabidhiwa madawati 327 kutoka kwa wabunge Mh.Anna Lupembe(viti maalumu Katavi) na Sebastian Simon Kapufi(Mbunge Mpanda Mjini),pia mabati yenye thamani ya shilingi milioni mbili.Wa kwanza Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda Mh.Willium Mbogo na wakwanza kushoto ni Mh.Anna Lupembe mbunge viti maalumu Katavi(PICHA NA.Issack Gerald)Julai 26,2016

Wa pili kutoka Kushoto(mwenye koti nyeusi) ni Mkurugenzi Halmshauri ya Mnaispaa ya Mpanda na watatu kutoka Kushoto ni Katibu tawala Mkoa wa KATAVI Kamishna Paul Chagonja(PICHA NA .Issack Gerald) Julai 26,2016

Mbunge viti maalumu Mkoani Katavi Mh.Anna Lupembe akizungumza wakati akikabidhi madwati 181,baiskeli tatu za walemavu na pesa taslimu shilingi milioni 4 kwa vikundi 40 vya wanawake wajasilimali Manispaa ya Mpanda(PICHA NA.Issack Gerald) Julai 26,2016

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA