VIONGOZI SERIKALI ZA VIJIJI WILAYANI MPANDA WATAKIWA KUTOKIUKA SHERIA ZA UGAWAJI WA ARDHI



VIONGOZI wa serikali za  vijiji wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kutokiuka  utaratibu wa kisheria katika ugawaji wa ardhi kwa wannchi.

Hayo yameelezwa na  mbunge wa jimbo la Mpanda vijijini Mh.Moshi Suleman Kakoso  wakati akihojiwa na  kituo hiki kuhusiana na  jitihada  zinazochukuliwa na serikali kwa  baadhi ya viongozi wa  vijiji , na Kata ambao wamekuwa   sehemu ya chanzo cha migogoro hiyo.
Aidha ameongeza kusema kuwa serikali inapaswa kushughurikia migogoro  hiyo halaka iwezekanavyo.
Hayo yanakuja ikiwa migogoro mingi ya ardhi inayotokea kwa kiasi kikubwa Wilayani Mpanda ikichangiwa na viongozi hao  wakati mwingi9ne kugawa viwanja kwa zaidi ya mtu mmoja katika eneo moja.
Mwandishi:Issack Gerald Bathromeo
Mhariri: Issack Gerald Bathromeo
Endelea kuhabarika na P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA