AFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA KWA MADAI YA KUUA BILA KUKUSUDIA

MTU Mmoja Mkazi wa Mji wa Zamani Katika Manispaa ya Mpanda amefikikishwa Katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mjini Mpanda kwa Kosa la Kuua bila Kukusudia.

Akisoma shitaka shitaka hilo mbele ya  hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Mwanasheria wa Serikali Bw,Lugano Mwasubira amesema mtuhumiwa anayefahamika kwa jina la Priskus Michael alitenda kosa hilo mnamo tarehe 14 Aprili mwaka huu Katika eneo hilo.
Mwasubira ameeileza Mahakama Kuwa mtuhumiwa alitenda Kosa hilo kwa Kumuua Shukurani Salum Karongo ambapo Upelelezi unaendelea ilin Kubaini chanzo cha Mauaji hayo.
Shitaka hilo limepangaiwa Kusikilizwa tena tarehe 11/5/2016 kwa Kuzingatia Kanuni na Sheria ambapo Mtuhumiwa amerudishwa Mahabusu Kusubiri tarehe hiyo ya Kujibu Mashitaka dhidi yake.


Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA