MANISPAA YA MPANDA KUFANYA TAFRIJA KESHO KUWAPONGEZA WALIMU KWA KUFAULISHA WANAFUNZI DARASA LA SABA NA KUWA NAMBA MOJA KITAIFA


Na.Issack Gerald-Mpanda
Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani katavi inatarajia kufanya tafrija ya kuwapongeza walimu kwa matokeo mazuri ya darasa la saba yaliyopelekea Manispaa ya Mpanda kushika nafasi ya kwanza kitaifa 2015.

Aakizungumza na Mpanda Radio,Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Mpanda Vicent Kayombo amesema kuwa tafrija hii imepangwa kufanyika kesho.
Katika Matokeo ya mwaka huu,Manispaa ya Mpanda imefaulisha wanafunzi kwa asilimia 97.8.
Wakati huo huo amewaomba wadau wa elimu kujitkeza na kuwapa motisha walimu ili wafundishe kwa bidii hata katika mwaka ujao wa 2016.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA