SERIKALI,JAMII WAOMBWA KUWASAIDIA WATOTO YATIMA


NA.Issack Gerald-NSIMBO
Serikali na Jamii kwa ujumla Mkoani Katavi imeombwa  kutoa misaada kwa watoto yatima na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.

Ombi hilo limetolewa na  Mratibu wa Kituo cha kulelea watoto yatima na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi GUESTMAN kilichopo  kata ya Litapunga Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Buruda Moses wakati akizungumza na mpanda redio kwa njia ya simu.
Moses amesema watoto hawa wanatakiwa kupatiwa mahitaji sawa kama watoto wengine sambamba na kuoneshwa ukaribu na upendo.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA