WANANCHI WILAYANI MLELE WATAKIWA KUFICHUA WANAOFANYA VITENDO VYA UKATIRI

Katikati ni mkuu wa Wilaya ya Mlele Issa Njiku akifafanua jambo

NA.Issack Gerald-Mlele
Wakazi kata ya Kibaoni Wilayani Mlele Mkoani Katavi wametakiwa kushirikiana na vyombo vya dora kutoa taarifa za vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mlele Kanali  Mstaafu Issa Suleiman Njiku wakati akizungumza na P5 TANZANIA Kuhusu vitendo vya  mauaji  vilivyotokea hivi karibuni kwa wanawake wawili kuuwawa Kikatili Katika  kijiji Cha Ilalangulu .
Kanali Njiku amesema sheria kali zitachukuliwa kwa mtu yeyote atayebainika kujihusisha na vitendo vya kikatili.
Hata hivyo siku chache baada ya mauaji ya wanawake hao,wakazi hao waliliomba jeshi la polisi kuwasaidia dhidi ya 

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA