MTOTO ATUPWA NA KUCHOMWA MOTO- KATAVI


NA.Meshack Ngumba-Mpanda
MTOTO anayekadiliwa kuwa na umri wa Miezi 6 hadi 7 ametupwa na Kisha kuchomwa  moto Usiku wa Kuamkia Leo  Katika Mtaa wa Maridadi Kata ya kashaulili Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi.

Wakizungumza na  Mpanda Fm Katika eneo la tukio wakazi wa Mtaa huo wameiomba serikali  kwa kushirikiana na Jeshi la polisi Kumtafuta Muhusika na Kumfikisha katika Vyombo vya Sheria ili iwe fundisho   kwa wanawake wengine wenye tabia za Kuwatupa watoto baada ya Kijifungua.
Aidha wakazi hao wamesema licha ya tukio hilo  Kuwa la kwanza kutokea Katika Mtaa huo  Serikali imetakiwa  kutolifumbia macho  Jambo hilo ili kunusuru  Maisha ya Viumbe visivyo na hatia.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA