Posts

YA WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KAVUU MKOANI KATAVI ISIKUPITE HII HAPA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa daraja la Kavuu linalojengwa na kampuni ya Nandra Engineering and Construction Ltd ya mkoani Morogoro na kumtaka mkandarasi huyo kulikamilisha haraka. Daraja la Mto Kavuu linalojengwa(Na.Issack Gerald)                                           

WAKURUGENZI WATAKIWA KUWAHAMASISHA WALIMU KUJIENDELEZA KIELIMU

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakurugenzi wa halmashauri na Maofisa Elimu nchini kutowaondoa katika nyadhifa zao Waratibu wa Elimu Kata na Wakuu wa shule za sekondari wasiokuwa na shahada, walimu wakuu wa shule za msingi wasiokuwa na diploma badala yake wawahamasishe kwenda kusoma.                                            

TATIZO LA MAJI SUMBAWANGA RUKWA KUWA HISTORIA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa inatarajiwa kupata huduma ya maji safi na salama kuanzia mwezi ujao baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji uliokuwa unajengwa.                                   

WAZIRI MKUU ATOA SIKU MBILI KWA MAOFISA ARDHI KUMALIZA KERO ZA WANANCHI

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Mkuu wa Idara ya Ardhi na Miundombinu wa mkoa wa Rukwa pamoja na Ofisa Ardhi wa Manispaa ya Sumbawanga kutatua matatizo ya ardhi yanayowakabili wakazi wa Manispaa hiyo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Mkoani Rukwa                                                  

WAZIRI MKUU WILAYANI SUMBAWANGA : WATUMISHI WATAKAOKULA FEDHA ZA CHF WAFUKUZWE KAZI NA NA WAFIKISHWE MAHAKAMANI

Image
Na.Issack Gerald Bathromo-Sumbawanga Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kufukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani kwa watumishi wote wa sekta ya afya watakaobainika kula fedha zinazochangwa na wananchi kwa ajili ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).                                      

ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI RUKWA : HAKUNA MWANASIASA ATAKAYERUHUSIWA KUVURUGA AMANI

Image
Na.Issack Gerald Bathromo- Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inalinda amani ya nchi kwa gharama zozote na kamwe haitoruhusu mwanasiasa yeyote kusababisha vurugu zitakazochochea uvunjifu wa amani. Waziri Mkuu akiwa Viwanja vya sabasaba Wilayani Nkasi Rukwa(PICHA NA.Issack Gerald) Agosti 23,2016                                              

WAKAZI WA KATA YA KAYENZE MKOANI MWANZA WAOMBA KUJENGEWA SEKONDARI YA KATA.

Image
Na.Albert Kavano-Mwanza. Wakazi wa Kata ya Kayenze Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wameiiomba serikali kuwajengea shule ya sekondari ya kata  kutokana na wanafunzi kutembea umbali wa zaidi kilometa 10 kutafuta elimu  kata jirani ya Sangabuye. Mandari Jiji la Mwanza