RAIS MAGUFULI AMTEUA MWENYEKITI WA BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU (NBAA)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof.
Isaya Jayambo Jairo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa
Hesabu (NBAA).

Prof.Jairo
ni Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA) na ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi
cha pili baada ya kipindi chake cha kwanza kumalizika.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com
Comments