NECTA YATANGAZA TAREHE YA MTIHANI KIDATO CHA SITA
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limesema mitihani ya kuhitimu kidato cha sita inatarajia kuanzaitaanza Mei 7 hadi 24 mwaka huu.

Msemaji wa Necta,John Nchimbi amesema “lengo la kutoa ratiba ni
kuwafanya wanafunzi na walimu wao kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao.”
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments