MKURUGENZI MANISPAA YA MPANDA APEWA SIKU 14 NA MKUU WA WILAYA YA MPANDA KUMALIZA MGOGORO WA ARDHI MISUNKUMILO



MKUU wa wilaya ya Mpanda Mh,Paza Mwamlima ametoa siku 14 Kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Kutatua Mgogoro wa aridhi kwa wananchi wa kata ya Minsunkumilo.

Mh,Paza Mwamlima ametoa agizo hilo leo  wakati akizungumza na Baadhi ya wakazi wa kata hiyo Katika Kikao cha Kutafuta suluhu ya Mgogoro huo Kilichofanyika Katika Ukumbi wa Idara ya Maji Mjini Mpanda.
Kwa upande wake kaimu afisa ardhi manispaa ya mpamba Bw. Peter kalipa amesema kwa mtu yeyote ambae atakuwa na vielelezo  vinavyoonesha kuwa ni muhusika wa eneo hilo afike katika idara hiyo ili aweze kusaidiwa.
Mkoa wa Katavi ni miongoni mwa Mikoa hapa nchini yenye Migogoro ya aridhi hasa Maeneo ya Vijijini inayotokana na wananchi wengi Kutokuwa na elimu inayohusu Masuala ya aridhi.
Mwandishi :Vumilia Abel
Mhariri :Issack Gerald Bathromeo
Endelea kuhabarika na P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA