WAZAZI WATAKIWA KUHAKIKISHA WAANDIKISHA DARASA LA KWANZA WATOTO WAO


Na.Issack Gerald-MPANDA
SERIKALI Imewataka Wazazi wote Kuhakikisha Watoto waliofikia Umri wa Kuanza Shule Kuandikishwa na Kuahidi kuwachukulia hatua watakaoshindwa Kutekeleza agizo hilo.

Zoezi la Kuandikisha Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na awali limeanza leo Katika shule mbalimbali nchini na litadumu kwa Kipindi cha Mwezi mmoja.
Kituo hiki Kimezungumza  na Bw.Lazaro Njau Mwalimu Mkuu Katika Shule ya Msingi Mpanda ili Kufahamu idadi ya Wanafunzi wanaokusudiwa Kuandikishwa Katika shule hiyo.
Shule ya Msingi Mpanda yenye jumla ya wanafunzi 1,492 imeweka Malengo ya Kuandikisha wanafunzi 186 wa Darasa la Kwanza  na 136 wa Darasa la awali.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA